Wednesday, August 17, 2016

MABADILIKO YA UONGOZI WA KIKUNDI

Kikundi kimefanya mabadiriko ya uongozi ili kuongeza tija na

Sunday, November 22, 2015

FOMU ZA USAJILI WA WANAKIKUNDI

Katika mkakati wa kuhakikisha kila mwanakikundi anakuwa na haki sawa ndani ya kikundi, kikundi kiliandaa fomu maalumu kwa ajili ya wanakikundi kujaza na kuwa wanakikundi hai wanaotambulika rasmi.

Zoezi la kujaza fomu hizo bado linaendelea na hawa wafuatao ndio waliotimiza hatua hiyo ya kujaza fomu.

Sunday, November 1, 2015

TIMU YA SUPER STAR GAIRO

    TIMU YA MPIRA YA GAIRO  (SUPER STAR)

Je unawakumbuka wachezaji maarufu wa enzi hizo