Wednesday, August 17, 2016

MABADILIKO YA UONGOZI WA KIKUNDI

Kikundi kimefanya mabadiriko ya uongozi ili kuongeza tija na
ufanisi zaidi, mabadiliko hayo yalifanyika kupitia mkutano uliofanyika siku ya tarehe 08/08/2016 kwa njia ya mtandao wafuatao walichaguliwa:

1.Ndugu Amos A. Makata-Mwenyekiti(Awali alikuwa makamu Mwenyekiti)
2.Ndugu Cuthbert Y. Mwendi-Makamu Mwenyekiti(Awali alikuwa Mratibu uzalishaji)
3.Ndugu Pendo S. Senyagwa-Katibu Msaidizi(Awali alikuwa mjumbe)


AMOS MAKATA
 MWENYEKITI




CUTHBERT YOHANA MWENDI 
 MAKAMU MWENYEKITI



PENDO STONE SENYAGWA
KATIBU MSAIDIZI





UONGOZI WA WAKULU:

1.Amos Achson Makata-Mwenyekiti
2.Cuthbert Yohana Mwendi-Makamu
3.Mussa Rajabu Mhina-Katibu mkuu
4.Pendo Stone Senyagwa-Katibu Msaidizi
5.Chuki Mwingwa Mlehele-Mhazini
6.Warren Justine Balaigwa-Mhazini msaidizi.
Tunawakaribisha wote wanaopenda kuungana nasi katika kusaidiana. Kwa maelezo zaidi piga simu zifuatazo:
0784 578 191-Amos Makata
0757 075 066-Cuthbert Mwendi
0715 564 627-Mussa Mhina


No comments:

Post a Comment