WAKULU WA UKAYA Ni kikundi kilichoanzishwa rasmi mwaka 2009 kupitia mtandao wa facebook kwa kupitia ukurasa unaoitwa "WAKULU WA UKAYA"kinaundwa na Wakagulu wenye lengo na nia moja ya kuweza kusaidiana katika raha na shida pamoja na kuwa na lengo kubwa la kuinua uchumi wa wanakikundi na wanajamii wa Gairo kwa ujumla. Kwa sasa kikundi hiki kimepata usajili Serikalini hivyo basi kipo kisheria.
Friday, October 16, 2015
HISTORIA FUPI YA ASILI YA WAKAGURU
Wakagulu ni kabila la Tanzania wanaoishi katika Mkoa wa Morogoro, Wilaya ya Kilosa. Lugha yao ni
Subscribe to:
Posts (Atom)