MATUKIO

MKUTANO MKUU WA WANACHAMA ULIOFANYIKA MJINI MOROGORO TAREHE 21 MACHI 2015.

Mkutano huo ulilenga kuwakutanisha wanachama wote wa kikundi hiki cha Wakulu wa ukaya
ili kufanya uchaguzi wa viongozi wa kikundi na kujadili katiba ya kikundi ili kuweza kufanikisha usajili rasmi wa kikundi hiki Serikalini.

Matukio ya kikao hicho katika picha.



                                        WANACHAMA WAKIWA KWENYE MKUTANO

Mwenyekiti na Katibu wa muda wakiendesha kikao kabla ya kufanyika uchaguzi wa viongozi wapya.

Wajumbe wakiwasikiliza kwa makini viongozi wa kikao hiki maalumu.







Mapumziko mafupi yaliwafanya wajumbe kusalimiana na kufahamiana huku wakisubiri chakula cha mchana.

Wajumbe wakipata mlo wa mchana



Vinywaji baridi navyo havikukosekana kulainisha koo huku taarifa mbalimbali zikitumwa
kwa wale ambao hawakuweza kufika katika kikao hicho.





Wajumbe wakipata picha ya pamoja katika chumba cha mkutano



                                     
Picha za pamoja ziliendelea kupigwa nje ya chumba cha mkutano kama zinavyoonekana

Nyuso za furaha zinaonekana baada ya kufikia maamuzi ya kikao hicho










HIKI NI CHETI CHA USAJILI WA KIKUNDI CHA WAKULU WA UKAYA
KILICHOTOLEWA TAREHE 24 APRIL 2015

No comments:

Post a Comment