KANUSHO


Wakati sisi tunajaribu kuhariri au kuondoa maoni yoyote yenye matusi, chuki au hotuba ambayo inaweza kuchukuliwa kuwa vamizi kwa faragha ya mtu, au ambayo yenye kukiuka aina yoyote ya sheria, haiwezekani kwa sisi kufanya mapitio kwa kila maoni yanayowekwa kwenye wakuluwaukaya.blogspot .com

Kwa sababu hiyo, kwa kufungua wakuluwaukaya.blogspot.com unatakiwa kuzingatia sheria hizi:

1.Wote wanaofungua wakuluwaukaya.blogspot.com watawajibika kwa maudhui ya maoni yao.

2. wakuluwaukaya.blogspot.com hawahusiki kwa maoni yoyote yasiyosahihi yaliyowasilishwa na mgeni wa tovuti hii. wakuluwaukaya.blogspot.com haitabeba jukumu kuhusu usahihi wa maoni ya washiriki wowote na haina dhamana ya kisheria kwa matokeo ya majadiliano.

3. Kama wewe utashiriki katika majadiliano yoyote kwenye tovuti, unatakiwa kuthibitisha kwamba huwezi:

v kuadhiri, nyanyasa, bughudhi au kutishia wengine.

v Tengeneza chuki, au ubaguzi au kutoa maoni yoyote
yenye kukera.

v Shabikia shughuli haramu au kujadili shughuli haramu kwa nia ya kutenda uharifu

4.   Maoni yako hayatabadilishwa na wakuluwaukaya.blogspot.com kwa njia yoyote. Hata hivyo, wakuluwaukaya.blogspot.com ina haki ya kufuta maoni yoyote inayoamini hayafai kimaudhui. Ukiona maoni yoyote au jambo lolote lenye kukera, tafadhali wasiliana nasi
(Wakuluwaukaya@gmail.com).


Whilst we attempt to edit or remove any comment containing inappropriate, abusive, or hateful speech that could be considered invasive of a person's privacy, or which otherwise violate any kind of law, it is impossible for us to review every comment posted on wakuluwaukaya.blogspot.com

For this reason, by accessing this blog will constitute your agreement to comply with these rules:

1.     Blog visitors shall remain solely responsible for the content of their comments.

2. wakuluwaukaya.blogspot.com shall not be liable for any comment submitted by a blog visitor. wakuluwaukaya.blogspot.com bears no responsibility for accuracy of comments of any participants and will bear no legal liability for discussion results.

3.     If you participate in any post on the blog, you warrant that you will not:
v Defame, abuse, harass or threaten others.

v Make any hateful or racially offensive comments.

v Advocate illegal activity or discuss illegal activities
with the intent to commit them

4.     The contents of your comments will not be changed or altered by the wakuluwaukaya.blogspot.com in any way. However, wakuluwaukaya.blogspot.com reserves the right to delete any comment it believes are unsuitable in content. If you find any comment objectionable or offensive, please contact us

No comments:

Post a Comment