Je unawakumbuka wachezaji maarufu wa enzi hizo waliochezea timu hii ya Super Star?
Nitajie majina yao na maelezo jinsi ulivyoifahamu timu hiyo.
Nitajie majina yao na maelezo jinsi ulivyoifahamu timu hiyo.
WAKULU WA UKAYA Ni kikundi kilichoanzishwa rasmi mwaka 2009 kupitia mtandao wa facebook kwa kupitia ukurasa unaoitwa "WAKULU WA UKAYA"kinaundwa na Wakagulu wenye lengo na nia moja ya kuweza kusaidiana katika raha na shida pamoja na kuwa na lengo kubwa la kuinua uchumi wa wanakikundi na wanajamii wa Gairo kwa ujumla. Kwa sasa kikundi hiki kimepata usajili Serikalini hivyo basi kipo kisheria.
No comments:
Post a Comment