Katika mkakati wa kuhakikisha kila mwanakikundi anakuwa na haki sawa ndani ya kikundi, kikundi kiliandaa fomu maalumu kwa ajili ya wanakikundi kujaza na kuwa wanakikundi hai wanaotambulika rasmi.
Zoezi la kujaza fomu hizo bado linaendelea na hawa wafuatao ndio waliotimiza hatua hiyo ya kujaza fomu.
WAKULU WA UKAYA Ni kikundi kilichoanzishwa rasmi mwaka 2009 kupitia mtandao wa facebook kwa kupitia ukurasa unaoitwa "WAKULU WA UKAYA"kinaundwa na Wakagulu wenye lengo na nia moja ya kuweza kusaidiana katika raha na shida pamoja na kuwa na lengo kubwa la kuinua uchumi wa wanakikundi na wanajamii wa Gairo kwa ujumla. Kwa sasa kikundi hiki kimepata usajili Serikalini hivyo basi kipo kisheria.
Sunday, November 22, 2015
Sunday, November 1, 2015
TIMU YA SUPER STAR GAIRO
TIMU YA MPIRA YA GAIRO (SUPER STAR)
Je unawakumbuka wachezaji maarufu wa enzi hizo
Je unawakumbuka wachezaji maarufu wa enzi hizo
Subscribe to:
Posts (Atom)