MABADILIKO YA UONGOZI WA KIKUNDI
Kikundi kimefanya mabadiriko ya uongozi ili kuongeza tija na
ufanisi zaidi, mabadiliko hayo yalifanyika kupitia mkutano uliofanyika siku ya tarehe 08/08/2016 kwa njia ya mtandao wafuatao walichaguliwa:2.Ndugu Cuthbert Y. Mwendi-Makamu Mwenyekiti(Awali alikuwa Mratibu uzalishaji)
3.Ndugu Pendo S. Senyagwa-Katibu Msaidizi(Awali alikuwa mjumbe)
AMOS MAKATA
MWENYEKITI
CUTHBERT YOHANA MWENDI
MAKAMU MWENYEKITI
PENDO STONE SENYAGWA
KATIBU MSAIDIZI
UONGOZI WA WAKULU:
1.Amos Achson Makata-Mwenyekiti
2.Cuthbert Yohana Mwendi-Makamu
3.Mussa Rajabu Mhina-Katibu mkuu
4.Pendo Stone Senyagwa-Katibu Msaidizi
5.Chuki Mwingwa Mlehele-Mhazini
6.Warren Justine Balaigwa-Mhazini msaidizi.
Tunawakaribisha wote wanaopenda kuungana nasi katika kusaidiana. Kwa maelezo zaidi piga simu zifuatazo:
0784 578 191-Amos Makata
0757 075 066-Cuthbert Mwendi
0715 564 627-Mussa Mhina
No comments:
Post a Comment