NI KITU KIGUMU SANA KUKUBALI KUWA
UMETUACHA DR ESTER MKAMILO, UMEKUWA NASI MWANACHAMA MWENZETU ULIYEWAPENDA WANACHAMA WOTE BILA KUMBAGUA YEYOTE. UMETUACHA NA MAJONZI TELE, TUTAKUKUMBUKA DAIMA. BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA JINA LA BWANA LIBARIKIWE AMINAWAKULU WA UKAYA Ni kikundi kilichoanzishwa rasmi mwaka 2009 kupitia mtandao wa facebook kwa kupitia ukurasa unaoitwa "WAKULU WA UKAYA"kinaundwa na Wakagulu wenye lengo na nia moja ya kuweza kusaidiana katika raha na shida pamoja na kuwa na lengo kubwa la kuinua uchumi wa wanakikundi na wanajamii wa Gairo kwa ujumla. Kwa sasa kikundi hiki kimepata usajili Serikalini hivyo basi kipo kisheria.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Mungu ni mwema kwa kazi zake.
ReplyDeleteJamani aliariki lini? na kwa tatizo gani?